Competiton Appeal Management System
Maadili ya Msingi ya Baraza
ZFCT inadumisha na kutekeleza dhamira yake na utawala bora kwa kufuata maadili makuu sita yafuatayo:
Haki kwa wakati unaofaa
Ufanisi na Tija
Uadilifu na Heshima
Usawa na Uhuru
Ushirikiano
Uwazi
Karibu Baraza la Ushindani Halali wa Biashara
Mwenyekiti, Wajumbe, Menejimenti na Wafanyakazi wa Mahakama ya Ushindani Zanzibar (ZFCT) Wanapenda Kuwakaribisha Nyote Katika Tovuti Hii. ZFCT Ni Chombo Cha Kusikiliza Maamuzi ya Taasisi za Udhibiti Ikiwemo ZFCC, ZURA, ZMA, ZBS na Nyingine za Udhibiti.
Ni Chombo Maalumu Miongoni mwa Taasisi Mahususi Zilizoundwa Kuzuia Vitendo Vinavyokwenda Kinyume na Kuathiri Ushindani wa Biashara na Kulinda Mtumiaji wa Bidhaa na Huduma. ZFCT Ilianza Kutokana na Kuwepo kwa Tume ya Ushindani wa Haki Zanzibar.
Tovuti Hii Inalenga Kufahamisha Na Kuelimisha Umma Kuhusu Shughuli Zinazofanywa Na ZFCT. Ni Imani Yetu Kuwa Tovuti Hii Itakuwa Muhimu Kwa Wageni Wetu.
Karibu sana!
Habari
Matangazo
Washirika Wetu




