SIKU YA USHINDANI DUNIANI
Baraza la Ushindani Halali wa Biashara linaungana na Watanzania katika kuadhimisha SIKU YA USHINDANI DUNIANI ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 05 Disemba ya kila mwaka. Ambapo kwa mwaka huu Maadhimisho hayo kwa upande wa Tanzania yanaenda Sambamba na Kauli mbiu isemayo. “Njama Baina ya Washindani na Madhara yake kwa Watumiaji wa Bidhaa na Huduma”.
