Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda

Baraza la Ushindani Halali wa Biashara

"Zinduka !!! Rufaa ni haki ya Mfanyabiashara na Mtumiaji wa Huduma na Bidhaa”

POST INFORMATION

SIKU YA USHINDANI DUNIANI

Baraza la Ushindani Halali wa Biashara linaungana na Watanzania katika kuadhimisha SIKU YA USHINDANI DUNIANI ambayo huadhimishwa kila ifikapo tarehe 05 Disemba ya kila mwaka.

Ambapo kwa mwaka huu Maadhimisho hayo kwa upande wa Tanzania yanaenda Sambamba na Kauli mbiu isemayo.

“Njama Baina ya Washindani na Madhara yake kwa Watumiaji wa Bidhaa na Huduma”.

Scroll to Top

example.com

example2.com

example3.com