Kwa niaba ya watumishi wote na menejimenti ya ZFCT tunawaahidi wadau wetu wakiwemo Wawekezaji, Wajasiriamali na Watumiaji wa bidhaa na huduma kuwapatia huduma bora kwa kushughulikia kwa kina rufaa na maombi yaliyowasilishwa katika ofisi za Baraza.
Fatma Gharib Haji
Mrajis
Baraza la Ushindani Halali wa Biashara
ZANZIBAR